Ingia Jisajili Bure

Messi: Nataka kurejea Barcelona kama mkurugenzi wa ufundi

Messi: Nataka kurejea Barcelona kama mkurugenzi wa ufundi

Mshambulizi wa PSG Lionel Messi yuko tayari kurejea Barcelona kama mkurugenzi wa ufundi baada ya kuaga soka la kulipwa.

Muajentina huyo alionyesha kinagaubaga nia yake ya kuwa sehemu ya uongozi wa Wakatalunya.

"Siku zote nimekuwa nikisema kwamba nataka kurejea Barcelona na kuisaidia klabu kwa namna fulani. Nataka kuwa muhimu na kuisaidia Barca. "Ningependa kuwa mkurugenzi wa ufundi, lakini sijui kama itafanikiwa. Barcelona," Messi aliambia Sport.

Alieleza sababu za ndoto yake: "Nataka kurejea kwa sababu ninaipenda Barcelona na nataka timu ifanye vizuri, iendelee kukua na kuwa miongoni mwa wachezaji bora zaidi duniani."

Kuondoka maoni

Lazima uingie kabla ya kutoa maoni